Horatius - Wikipedia, kamusi elezo huru Horatius Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru Jump to navigation Jump to search Sanamu ya Horasi mjini Verona, Italia. Quintus Horatius Flaccus (pia: Horasi; 8 Desemba 65 KK - 27 Novemba 8 KK) alikuwa mshairi mashuhuri wa Roma ya Kale. Alizaliwa kama mtoto wa mtumwa aliyepewa uhuru na bwana wake na kutajirika baadaye. Hivyo aliweza kumpa mwanawe elimu nzuri. Alisomea Roma na baadaye Ugiriki. Aliandika mengi kwa lugha ya Kilatini akasifiwa wakati wake na katika karne zilizofuata. Kati ya maneno yake yaliyorudiwa mara kwa mara ni: Sapere aude! - "Thubutu kujua" (yaani: Ujiamini kutumia akili!) Dulce et decorum est pro patria mori - "Ni tamu, tena inafaa, kufa kwa nchi yako." Carpe diem - "Shika siku" (yaani: Usipoteze fursa za kufurahia leo!) Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo] Wikimedia Commons ina media kuhusu: Quintus Horatius Flaccus‎ Espace Horace The works of Horace at The Latin Library Selected Poems of Horace The Perseus Project -- Latin and Greek authors (with English translations), including Horace Biography and chronology Litweb Horace's works: text, concordances and frequency list Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Horatius&oldid=1008146" Jamii: Waliozaliwa 65 KK Waliofariki 8 KK Waandishi wa Roma ya Kale Urambazaji Vifaa binafsi Hujaingia Majadiliano ya IP hii Michango Unda akaunti Ingia Maeneo ya wiki Makala Majadiliano Vibadala Mitazamo Soma Hariri Hariri chanzo Fungua historia More Tafuta Urambazaji Mwanzo Jumuia Matukio ya hivi karibuni Mabadiliko ya karibuni Ukurasa wa bahati Msaada Michango Vifaa Viungo viungavyo ukurasa huu Mabadiliko husika Pakia faili Kurasa maalum Kiungo cha daima Maelezo ya ukurasa Taja ukurasa huu Wikidata item Chapa/peleka nje Tunga kitabu Pakua kama PDF Ukurasa wa kuchapika Miradi mingine Wikimedia Commons Lugha zingine Afrikaans አማርኛ Aragonés العربية مصرى Asturianu تۆرکجه Башҡортса Žemaitėška Беларуская Беларуская (тарашкевіца)‎ Български Brezhoneg Bosanski Català Čeština Cymraeg Dansk Deutsch Zazaki Ελληνικά English Esperanto Español Eesti Euskara فارسی Suomi Võro Français Furlan Gaeilge Galego עברית हिन्दी Fiji Hindi Hrvatski Magyar Հայերեն Interlingua Bahasa Indonesia Ido Íslenska Italiano 日本語 ქართული Қазақша 한국어 Kurdî Kernowek Latina Lingua Franca Nova Lietuvių Latviešu Malagasy Македонски മലയാളം Монгол मराठी Bahasa Melayu Nāhuatl Nederlands Norsk nynorsk Norsk bokmål Occitan ਪੰਜਾਬੀ Polski Piemontèis Português Română Tarandíne Русский Sardu Sicilianu Srpskohrvatski / српскохрватски Simple English Slovenčina Slovenščina Српски / srpski Seeltersk Svenska தமிழ் Tagalog Türkçe Татарча/tatarça Українська Oʻzbekcha/ўзбекча Tiếng Việt Volapük Walon Winaray 吴语 中文 粵語 Hariri viungo Ukurasa huu umebadilishwa kwa mara ya mwisho tarehe 9 Agosti 2017, saa 13:05. Maandishi yanapatikana chini ya leseni ya Creative Commons Attribution-ShareAlike License; matakwa mengine yanaweza kutakiwa. Tazama maelezo zaidi ya Matakwa ya Utumiaji. Sera ya faragha Kuhusu Wikipedia Kanusho Mtazamo wa rununu Developers Statistics Cookie statement